BTTS Tips (GG/NG)
Teams zote kufunga au la
BTTS (GG/NG) ni market maarufu kwa bettors wa Kenya. Pata tips za leo na kesho kwa BTTS na ongeza chances zako za kuingia green.
Utabiri wa Leo - BTTS
Chagua siku kuona tips zote za GG/NG
Mwongozo wa BTTS (GG/NG)
Both Teams To Score (BTTS) maarufu kama GG/NG ni market rahisi kuelewa. Unachotazama ni kama teams zote mbili zitafunga au la ndani ya dakika 90.
GG (Yes) ina maana teams zote mbili zinatakiwa kufunga angalau bao moja kila moja. NG (No) ina maana mechi inaweza kuisha clean sheet upande mmoja au 0-0.
Jinsi BTTS Inavyofanya Kazi (GG/NG)
BTTS inalenga uwezekano wa teams zote mbili kupata mabao. Haijalishi mechi ni ngumu au rahisi, muhimu ni teams zote kutikisa nyavu kabla ya final whistle.
Swali kuu kabla ya kuchagua GG/NG ni: Hizi teams zimekutana mara ngapi na matokeo yao yamekuwa gani? Majibu yake yanatoka kwenye stats za head-to-head, form ya timu na strength ya ligi.
Jinsi ya Kuchagua Mechi Sahihi za GG
Ni smart kuchagua mechi zenye chances kubwa ya teams zote kufunga, mfano:
- Teams zote zina average nzuri ya kufunga kwenye mechi 5–10 zilizopita
- Defenses za teams zote mbili ziko shaky
- Head-to-head inaonyesha mechi zao mara nyingi zina magoli pande zote
- Teams zote ni attacking na strikers wako in form
Ni vizuri pia kuchagua mechi ambapo angalau team moja ina goal rate ya juu... hii inapunguza risk ya 0-0.
Mifano ya Matokeo ya GG (Yes)
- 1-1
- 2-1, 1-2
- 2-2
- 3-1, 1-3
- 3-2, 2-3
- N.k
Mifano ya Matokeo ya NG (No)
- 0-0
- 1-0, 0-1
- 2-0, 0-2
- 3-0, 0-3
- 4-0, 0-4
- N.k
Kwa kifupi: GG ni nzuri kwa mechi za attacking, NG ni bora kwa mechi zenye defense imara. Tumia stats sahihi kuongeza chances zako.