Under/Over 1.5 First Half
First half goals tips
Pata tips za jumla ya magoli kipindi cha kwanza (Under/Over 1.5). Hapa tumekuandalia picks za leo na kesho kwa market ya First Half Goals.
Over/Under 1.5 First Half - Utabiri wa Leo
Chagua siku kutazama mikeka ya siku husika
Mwongozo wa Under/Over 1.5 HT
Utabiri wa Under/Over 1.5 kipindi cha kwanza ni market muhimu kwa betting. Unachagua kama mechi itafikisha chini ya mabao mawili au zaidi ya bao moja ndani ya dakika 45 za kwanza pamoja na extra time. Odds za first half markets huwa na value nzuri, especially kwa live bettors.
Over 1.5 HT inahitaji mabao mawili au zaidi ndani ya first half. Under 1.5 HT ina maana mechi inabaki chini ya mabao mawili katika muda huo.
Jinsi ya Kufanya Utafiti wa Under/Over 1.5 HT
Ili kupata pick sahihi, chunguza stats za timu zote mbili na angalia:
- Timu zipi huwa zinafunga au kuruhusu magoli mengi kipindi cha kwanza
- Lineups siku ya mechi
- Mbinu za kocha... je team ni attacking au defensive?
Teams zenye attacking style mara nyingi hupata mabao mapema, hivyo zinafaa kwa Over 1.5 HT. Kwa upande mwingine, teams zenye ulinzi imara au cautious game plan zinafaa kwa Under 1.5 HT.